kamandi ya anga JWTZ yaanza mazoezi
Kamandi ya Jeshi la Anga limeanza mazoezi ya pamoja na mataifa mengine ili kuwaongezea Maafisa na Askari wake weledi katika utendaji wao.Hayo yalielezwa leo na Mkuu wa Kamandi ya nchi Kavu, Meja...
View ArticleELIMU DUNI NA ISIYO SAHIHI YA MATUMIZI YA KONDOMU INACHANGIA MAAMBUKIZI MAPYA...
Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na...
View Article"PASUA TWENDE" YA SKYLIGHT NOOMAAAA
Na hii ndio Video ya Skylight Band ya Wimbo mpya "PASUA TWENDE"Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera...
View ArticleAjali ya shirika la ndege la Algeria yaua wote 116
RAIS François Hollande wa Ufaransa amethibitisha kwamba hakuna mtu aliyepona katika ajali ya ndege ya shirika la ndege la Algeria yenye mruko namba AH5017.Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 116 ikitokea...
View ArticleBunge la Katiba mbele kwa mbele bila Ukawa
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani ) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba yaMwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel...
View ArticleHOSPITALI YA IMTU YAFUNGIWA KWA KUKOSA VIWANGO
Hospitali ya Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) inayomilikiwa Chuo cha Udaktari kinachohusishwa na utupaji wa viungo vya binadamu mithili ya takataka, imefungiwa kwa muda usiojulikana...
View ArticleKIPINDI CHA “MIMI NA TANZANIA” CHAVUKA MIPAKA YA TANZANIA, SAFARI NI NDANI YA...
Pichani ni Mtangazaji anayeongoza Kipindi cha 'Mimi na Tanzania' Hoyce Temu aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 akiwa nje ya Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Marekani mara baada ya kuwasili...
View ArticleMFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA...
Mkurugenzi wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu kushoto akisalimiana na msanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga...
View ArticleRatiba ya mabondia timu ya taifa Madola
Patron CP Suleiman KovaPresident: -Mutta Robert LwakataleVice president: Lukelo A. WilliloSecretary General: Makore .R.MashagaTresurer: Maj.KapandantavaMob: +255 774 555 800 +255 713 588...
View ArticlePOLISI WAZUNGUMZIA SIKUKUU ZA EID EL FITR
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIAAnuani ya simu “mkuupolisi”...
View ArticleBahati Bukuku ajeruhiwa kwenye ajali leo alfajiri
Msanii wa Injili Bahati Bukuku (40) ni miongoni mwa majeruhi watatu wa ajali ya gari iliyotokea iliyotokea leo katika barabara ya Morogoro – Dodoma eneo la ranchi ya Narco Wilaya ya Kongwa .Majeruhi...
View ArticleFUTARI ILIYOANDALIWA NA MAKAMU WA RAIS
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA ANGURUMA MWANZA
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Mwanza katika viwanja vya Furahisha amesisitiza nidhamu ya fedha na bajeti ili kufanikisha maendeleo.Aidha ametaka wananchi kupima nia za...
View ArticleTamasha la Cigogo 2014 liko poa sana
Tamasha la saba la Muziki wa Cigogo 2014, lililoanza jana Julai 25, kwenye kijiji cha Chamwino Ikulu, Mkoani hapa linarindima kwa kishindo.Tamasha hilo ambalo jana lilizinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKU WAHITIMU WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA MAHAFALI YA...
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kanali James Ruzibiza Stashahada ya Usalama na Stratejia (Diploma in Security and Strategic Studies) katika mahafali ya Kozi ya Pili ya Chuo Cha...
View ArticleAmtoroka mume kwa kumshinikiza kuua mtoto wao kulinda ndoa
Joyce Mwakipesile (27) ametoroka Mume wake kumnusuru mtoto wake God Wambura miezi 3 aliyezaliwa na mdomo wa sungura asiuwawe na mume huyo.Mwanamke huyo amesema hayo wakati akiongea na Mtandandao wa...
View ArticleIZO BUSINESS NA BEN PAUL WAPAMBA UZINDUZI WA KAMPENI YA SHUGA REDIO MKOANI...
Afisa Mipango VVU/UKIMWI kutoka UNICEF, Bi. Alice Ijumba akitoka kukagua jukwaa lenye hadhi ya kimataifa la Ebony FM kwenye uzinduzi wa kampeni ya SHUGA Redio uliofanyika jana kwenye viunga vya Samora...
View ArticleMAJANGILI WAUA TEMBO WAWILI HIFADHI YA UDZUNGWA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo , akionesha jino la tembo kati ya manne, kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) leo baada ya majangili kuawaua tembo wawili ndani ya Hifadhi ya...
View ArticleWaziri Mkuu ashiriki uzinduzi wa dayosisi mpya ya KKKT atoa onyo
Waziri mkuu aasa wananchi wasikubali kugeuzwa mtaji na wagombeaWAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye uchaguzi...
View ArticleWAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AANDAA FUTARI NYUMBANI KWAKE DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum alipowasili kwenye makaazi ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda (nyuma yao) Oysterbay jijini Dar es salaam...
View Article