WAZIRI MKUU AHIMIZA HAKI NA USAWA MAGEREZA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka maaafisa na makamanda wa Jeshi la Magereza nchini waendelee kusimamia haki na usawa wanapotimiza wajibu wao.Ametoa wito huo jana jioni...
View ArticleMKURUGENZI MANISPAA YA UBUNGO KUJENGA MADARASA MATANO MAPYA SHULE YA MSINGI...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akizungumza jambo mara baada ya kuzuru kwa ziara ya kikazi katika Shule ya Msingi Hondogo iliyopo Kata ya KibambaMkurugenzi wa Manispaa ya...
View ArticleDC KASESELA ATISHIA KUFUNGA MGODI WA NYAKAVANGALA
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akizungumza na blog hii juu ya kitu kinachiendelea kwenye mgodi wa nyakavangala.Na Fredy Mgunda, IringaWachimbaji wa madini katika mgodi wa nyakavangala...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAKUU WA MIKOA WOTE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo amekutana na wakuu wa mikoa wote katika kikao kilichohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe....
View ArticleGenevieve Nnaji: Mwenye mafanikio na msiri wa maisha yake
HUYU ni mdada ambaye amekuwa akionekana katika filamu nyingi zilizoenda shule za Nollywood. Pamoja na kuwa maarufu katika sinema amepata mafanikio makubwa katika shughuli zake huku akiwa na mamilioni...
View ArticleWafanyakazi wa Hospitali ya Sanitas wajitolea damu
Wafanyakazi wa Hospitali ya Sanitas wajitolea damuKuelekea siku ya kuchangia damu duniani, Hospitali ya Sanitas iliyopo Mikocheni imeandaa kambi ya kuchangia damu ambayo ilifanyika siku ya jumanne,...
View ArticleTAFADHALI TUAMBIE UKO WAPI ...NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU...
Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo...
View ArticleMAKONDA APOKEA MAGARI MABOVU YA POLISI KUYABADILI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa magari mabovu kwa ajili ya Matengenezo. Leo June 14, 2017 Oysterbay Jijini Dar es salaamMkuu wa Mkoa wa Dar es...
View ArticleWAZIRI MKUU ATAKA MAAFISA MIFUGO WABADILIKE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka maaafisa mifugo wote wa wilaya na mikoa wabadilike ili sekta hiyo iweze kuongeza mchango wake kwenye pato la Taifa.“Katika ziara zangu za mikoani...
View ArticleMtoto wa miaka sita, darasa la kwanza azindua kitabu
Mtoto Ethan Thedore Yona akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kitabu chake kwa njia ya mtandao(App) kijulikanacho kama Ethan Man, hafla hiyo imefanyika leo kwenye maadhimisho ya siku...
View ArticleKampuni ya Tigo Yaadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika kwa kushirikiana na wadau
Meneja mauzo na masoko wa taasisi ya Shule Direct Shaweji Steven (kushoto) akimuonesha Meneja Mawasiliano ya Umma kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) kifaa cha kusoma...
View ArticleTamko la THBUB wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika Juni 16, 2017
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote wa haki za watoto duniani katika kuadhimisha “Siku ya mtoto wa Afrika”.Siku hii inaikumbusha dunia juu ya mauaji ya watoto...
View ArticleWanawake UWT watakiwa kuwania uongozi CCM na jumuiya zake
Kaimu Naibu Mkuu wa UWT Zanzibar, Bi. Tunu Juma Kondo akizungumza na viongozi wa Matawi ya Jimbo Kijini Wilaya ya Kaskazini “A” kichama Unguja.UMOJA wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT)...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA DAR
Watoto wakikimbia walipokuwa wakiandamana kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kinyerezi, ambapo yalifanyika kimkoa wilayani Ilala, Dar es Salaam leo.Maadhimisho hayo...
View ArticleUNESCO YAZUNGUMZIA KUZAGAA KWA JANGWA SIKU YA JANGWA
Nchi yetu. Nyumba zetu. Mustakabali wetu.Hii lazima iwe kauli mbiu yetu leo - hasa katika mapambano dhidi ya kuenea kwa jangwa.Mchango wa mabadiliko ya mazingira katika uhamiaji na makazi ya watu uko...
View Article"NEXT EINSTEIN" YAZINDUA WIKI YA SAYANSI AFRIKA TANZANIA
Mtaalamu wa masomo ya Sayansi, Fadhil Leonard akiwaelekeza wanafunzi wa Shule ya Msingi namna ya kutengeneza gari linalojiendesha bila ya kuwa na dereva wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Sayansi...
View ArticleTAIFA LA WATU WAADILIFU HUANZIA KWENYE FAMILIA - WAZIRI MKUU
TAIFA LA WATU WAADILIFU HUANZIA KWENYE FAMILIA - WAZIRI MKUU WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema wazazi wana jukumu la kulea watoto kwenye misingi ya kumcha Mungu ili Taifa liweze kuwa na watu...
View ArticleBENKI YA CBA TANZANIA YAWAANDALIA IFTAR WATEJA WAKE JIJINI DAR ES SALAAM
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Gift Shoko akizungumza na baadhi ya wateja wakubwa wa benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati benki...
View ArticleTGGA YAENDESHA KAMBI YA MAFUNZO YA MTOTO WA KIKE KUJIAMINI, KUJITAMBUA NA...
Washiriki wa Kambi ya Mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake wakiimba wimbo wa Taifa baada ya kujifunza jinsi ya kufunga kamba vifundo na kupandisha bendera ya Taifa katika kambi ya siku tano...
View Article