Quantcast
Channel: Lukwangule Entertainment
Viewing all articles
Browse latest Browse all 9302

FUTARI ILIYOANDALIWA NA MAKAMU WA RAIS

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa  kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika  futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman wakiwasili kushiriki  futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014
PICHA NA IKULU


Viewing all articles
Browse latest Browse all 9302

Latest Images

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>