mcheza sarakasi Mohamed Idi Mturuma afariki akiwa Hispania
Umoja wa Wa Watanzania Ujerumani kwa ushirikiano na watanzania wanaoishi England na Spain kwa masikitiko makubwa sana tulipata msiba wa ndugu yetu mtanzania mwenzetu mcheza sarakasi Mohamed Idi...
View ArticleTAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA JUMAMOSI HII
Ben Pol na Maua Sama wakipagawisha wakazi wa jiji la Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili katika viwanja vya CCM Kirumba.Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza...
View ArticleMbarawa aagiza TANROAD kusimamia viwango, muda na gharama Daraja la Mlakakuwa
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ameiagiza Wakala wa Barabara Nchini (TANROAD) kusimamia viwango, muda na gharama inayolingana na thamani ya mradi kwa Kampuni ya...
View ArticleLUSAJO SAJENT WA SERENA HOTELI NA NEEMA MATOWE WALIVYO MEREMETA
Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku (kushoto), akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofanyika Ukumbi wa Mirando Sinza jijini Dar es Salaam juzi. Bwana...
View ArticleKingu aiombea maji jimbo la Singida Mashariki
Naibu waziri wa maji na Umwagiliaji Mhe Isack A. Kamwelwe akizungumza na watumishi wa Wilaya ya Ikungi mara baada ya kupita Ofisi za Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Miraji Jumanne Mtaturu akielekea Manispaa ya...
View ArticleEast Africa International Arbitration Conference 2017
KIGALI, Rwanda, September 26, 2017: Kigali, the capital of Rwanda will this week host the 5th edition of the East Africa International Arbitration Conference (EAIAC) on the 28th and 29th September 2017...
View ArticleNBS yapokea Tablets 500 kutoka Benki ya Dunia
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dk Albina Chuwa (kushoto) akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kukabidhiwa tablets kutoka Benki ya Dunia.Kulia ni Mwakilishi wa...
View ArticleCANADA, UNICEF, TIGO WAWEZESHA KASI UANDIKISHAJI VYETI VYA WATOTO CHINI YA...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kutumia fursa waliyoipata ya usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri...
View ArticleMBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA
h3 class="post-title entry-title" itemprop="name">MBUNGE MUSSA AIPIGA JEKI TIMU YA AFRICAN SPORTS YA TANGA.Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akimkabidhi viatu Mweka Hazina...
View ArticleASILIMIA 95 YA MIRADI YA KUBORESHA UMEME WA TANESCO DAR ES SALAAM IMEKAMILIKA
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO), limesema, tayari asilimia 95 ya uboreshaji miradi ya umeme katika jiji la Dar es Salaam, imekamilika.Meneja Mwandamizi wa TANESCO Kanda ya...
View Articlekamishna jenerali wa uhamiaji akagua vichochoro vinavyotumiwa na wahamiaji...
Kamishna Jenerali wa Idara ya Uhamiaji Dk. Anna P. Makakala wa kwanza kutoka kushoto akikagua vichochoro vinavyotumiwa na wahamiaji haramu kuingia nchini katika kijiji cha Mugulika Kata ya...
View ArticleTASWA YALAANI MWANAHABARI KUSHAMBULIWA NA OBREY CHIRWA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) na wahariri wa habari za michezo nchini, tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kushambuliwa kwa mwanahabari...
View ArticleTANGA CEMENT YATOA MIFUKO YA SARUJI 660 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA...
TANGA CEMENT YATOA MIFUKO YA SARUJI 660 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAJENGO KOROGWE NA MAABARA KATA YA MLALO LUSHOTO MKOANI TANGA Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga kushoto...
View ArticleTamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Siku ya wazee Duniani
-Tume ya Haki za Binadamu na Utawala BoraKitalu Na. 8, Mtaa wa LuthuliS.L.P 2643, DAR ES SALAAMSimu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222Faksi: +255 22 2111281B/Pepe: chragg@chragg.go.tzTovuti:...
View ArticleTAMASHA LA TIGO FIESTA LAFANA MKOANI TABORA
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizungumza kuhusu usalama wa watu na mali zao ulivyoimalishwa kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia...
View ArticleMWENGE WA UHURU WAZINDUA DUKA LA BIMA YA AFYA LA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA
MWENGE WA UHURU WAZINDUA DUKA LA BIMA YA AFYA LA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA Sehemu ya muonekana kwa ndani duka la Bima ya Afya la Halmashauri ya Jiji la Tanga Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya...
View ArticleWANACHAMA WA MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA WAKAGUA SHAMBA LA UWEKEZAJI...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita) Mkakati wa Dkt. Kissui Stephen Kissui akielezea malengo ya ziara YA Wakulima wanachama wa mtandao huo walipowasili katika eneo la...
View ArticleMANGULA AKUTANA NA KIONGOZI WA PALESTINA
Makamu Mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula akizungumza na Naibu Namishina wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (FATAH) Dk. Uri Davis, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,...
View ArticleDkt. Kalemani akutana na Balozi wa Uganda Nchini
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani (kushoto) akiwa na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Richard Kabonera.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani tarehe 5 Oktoba,...
View ArticleWASTAAFU WAIPONGEZA PSPF KWA KUPOKEA MALIPO YA PENSHENI YA MWEZI KWA WAKAT
Habari za kutwa, wadau pokeeni codes Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bi. Mwanjaa Sembe, (wapili kushoto), akimkabidhi kijarida cha Mfuko huo chenye maelezo ya...
View Article