BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI
Rais John Magufuli akitangaza mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 7, 2017. Wakimsikiliza ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim...
View ArticleWASHINDI WA PROMOSHENI YA COCA-COLA WAKABIDHIWA ZAWADI
Mshindi wa kitita cha 100,000/-Abdul Khalfan (kulia) akipokea fedha zake kutoka kwa Meneja wa Masoko na Mauzo wa Coca-Cola,Mwanza,Samwel Makenge Washindi wa promosheni ya Mchongo chini ya kizibo wakiwa...
View Articlehii inaweza kuwa barua ya wazi kwa watendaji serikali ya Tanzania
Balozi wa china zhou-yuxiao nchini ZambiaguysI got this from my e mails and i think it is worth readingLukwanguleMy thought of the dayHaving lived in China for more than 10 years. One thing I noticed...
View ArticleMAMLAKA ZAZUZUNGUMZIA AJALI YA DALADALA KUZAMA ZIWA VICTORIA
Watu 12 wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya daladala waliyokuwa wakisafiria, kutumbukia katika fukwe za Ziwa Victoria katika eneo la Kingo Feri wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.Ajali...
View ArticleIHEMBE MABINGWA KOMBE LA MBUNGE WA KARAGWE
Codes Mbunge wa Karagwe Mheshimiwa Innocent Bashungwa akimpokea mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Mwigulu Nchemba Mgeni rasmi akiwasili katika uwanja wa changarawe ilipofanyika fainali ya...
View ArticleNISHATI YA UMEME NI KIUNGO MUHIMU KUCHOCHEA UWEKEZAJI WA VIWANDA”-DKT MWINUKA
NISHATI YA UMEME NI KIUNGO MUHIMU KUCHOCHEA UWEKEZAJI WA VIWANDA”-DKT MWINUKA NISHATI ya umeme imeelezwa kuwa ni kiungo muhimu katika kuchochea uwekezaji wa viwanda hapa nchini ambao utasaidia kuinua...
View ArticleWAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB,MATAWI YA MAWENZI NA MBUYUNI MJINI MOSHI WAFANYA...
Wafanyakazi wa Benki ya NMB ,Matawi ya Mawenzi na Mbuyuni wakiwa katika Hospitali ya St,Joseph mjini Moshi kwa ajili ya zoezi la usafi pamoja na kutoa zawadi kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali...
View ArticleTPB MBEYA WASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya TPB Mkoa wa Mbeya katika Picha ya pamoja katika sherehe za wiki ya huduma kwa mteja iliyofanyika katika Ofisi Kuu za TPB Mwanjelwa jijini Mbeya na kuhudhuriwa na wadau...
View ArticleUONI HAFIFU HUCHANGIA MATOKEO MABAYA KWA WANAFUNZI DARASANI
HUONI HAFIFU HUCHANGIA MATOKEO MABAYA KWA WANAFUNZI DARASANI Mwalimu wa shule ya Msingi Nguvumali Jijini Tanga akichukua maelezo ya wanafunzi kabla ya kuanza zoezi la upimaji wa huduma ya macho wakati...
View ArticleMKUTANO MKUU WA MWAKA WA TANESCO SACCOS LTD WAFANYIKA JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Bodi ya Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Wafanyakazi wa Shirika la Ugavi la Umeme (TANESCO), TANESCO Saccos Ltd, Somoe Nguhwe akiwasilisha ripoti ya mwaka ya saccos hiyo,...
View ArticleWASIMAMIZI WA MASHAMBA YA MKIKITA NCHINI WAPIGWA MSASA
Daktari wa Mifugo na Kilimo, Dk. Aloyce Kessy akitoa mafunzo ya jinsi ya kuandaa vitalu vya miche ya papai katika kikao cha mpango kazi kwa watalaamu wa kilimo wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania...
View ArticleJPM AHAMASISHA WATANZANIA KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUWA WAZALENDO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewataka watanzania wote kuishi maisha aliyoishi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuacha kuwa...
View ArticleLAPF YAFUNGUA OFISI YA KANDA YA MAGHARIBI MKOANI GEITA
Naibu waziri wa ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaJosephat Sinkamba Akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Kushoto Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga ,Kulia Mkurugenzi Mkuu wa LAPF Bw Eliud...
View ArticleWANANCHI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA ILI YAWALETEE KIPATO ENDELEVU
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustine Kamuzola ameitaka jamii kujenga tabia ya kutunza mazingira katika maeneo yao kwa faida ya vizazi vya sasa na vizazi vijavyo.Katibu mkuu Profesa...
View ArticleDKT TIZEBA AFUKUZA KAZI WATATU, ATOA ONYO KWA WATATU
Waziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akitafakari jambo mara baada ya kuzungumza na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Lenny Mjini GeitaWaziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba (katikati) akisisitiza...
View ArticleWasanii watembelea duka la Tigo jijini Mbeya
Wasanii Jux na Mimi wakimkabidhi mteja wa Tigo, Tumaini Mwikanalo zawadi kwenye duka la Tigo jijini Mbeya.Mtoa huduma akipiga picha 'selfie' na wasanii Dogo Janja na Ben Pol.Ben Pol akiangalia simu...
View ArticleMAFUNDI WA TANESCO WAFANIKIWA KUWASHA MASHINE MOJA KWA AJILI YA MTWARA LINDI
Mafundi wakiratibu zoezi la ukarabati wa mshineNA K-VIS BLOG, MTWARASHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco), limefanikiwa kukarabati mashine namba 6 iliyokuwa imeharibika na kuiwasha kwa ajili ya kutoa...
View ArticleKIKAO CHA BARAZA KUU UWT TAIFA CHAFANYIKA KWA KISHINDO MJINI DODOMA
Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Idara ya Oganaizesheni Pereila Silima wakiwasili ukumbini tayari kwa...
View Article