Basi lililopata ajali likiwa stendi kuu |
hekaheka ya kuokoa majeruhi |
Watu wakiangalia kama kuna mtu anatakiwa kutolewa ndani ya gari |
Super feo ikiwa chali baada ya kuacha njia kugonga mti na kupinduka. |
Mizigo ya abiria ikiwekwa mahali pamoja |
Kuchungulia ilikuwa lazima |
Mungu apumzishe kwa amani roho za marehemu hawa.Picha zote na Mtanda Blogu |