TUZO ya Golden Lion Tamasha la venice yaenda kwa Mswidi
TUZO ya Golden Lion katika tamasha la venice mwaka huu ambalo ni tamasha la 71, imeenda kwa Mtengeneza sinema (dairekta) wa Kiswidishi, Roy Andersson kupitia sinema yake ya A Pigeon Sat on a Branch...
View ArticleMjue baba Haji, msanii wa filamu anayewekeza kwenye elimu
Anafikiria mbali zaidiBABA HAJI kama anavyojulikana mtaani kwa sasa au tuseme Baba Jamila amezaliwa Oktoba 11,1980 katika kijiji cha Sakura wilaya ya Pangani mkoani Tanga na kupewa jina la Haji Adam....
View ArticleCFAO MOTORS WAWEZESHA WAPENZI WA FORMULA ONE DAR KUONA GEMU
Kukiwa na wanawake warembo katika magari yanayomeremeta, waliovikwa na nguli wa mavazi Ally Rhemtulla kwa ajili ya kupokea wageni kwenye hafla ya kuona mashindano ya magari ya Formula One iliyoandaliwa...
View ArticleSKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL
Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es...
View ArticleGREEN WASTE PRO WAENDESHA KAMPENI USAFI KATIKATI YA JIJI
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd. wadau na wananchi wakijipanga tayari kuanza kampeni ya wiki tatu ya kusafisha maeneo mbalimbali ya katikati ya jiji iliyozinduliwa...
View ArticleMkutano wa Rais Kikwete na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08,2014.
View ArticleMuseveni kutua Dar Jumatano
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, anatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatano asubuhi, tarehe 10 Septemba, 2014 kwa ziara ya kikazi ya siku...
View ArticleAbiria wamtoa shoo dereva wa Mohamed Trans ya Mwanza
KELELE za abiria katika basi la kampuni ya Mohamed Trans lenye usajili namba T 879 ASU lililokuwa likitoka mjini Dodoma kuelekea Mwanza ziliwezesha kuokoa shari ambayo ingelitokea kutokana na basi...
View ArticleAIR BUS ILIVYOTULIA KORONGONI BAADA YA KUUA WANNE NA KUJERUHI 35
Basi la Abiria la AIR BUS lenye namba za usajili T 106 AGB, likiwalimepinduka na kutumbukia korongoni kwenye daraja la Mkange , kati yaKijiji cha Berega na Kiegeya, wilaya ya Kilosa katika barabara kuu...
View ArticleTanzania ya nane duniani kwa kujiua and no body is doing anything
.Utafiti WHO waonesha wanaume wanaongoza .Msongo wa mawazo, umasikini vyatajwa.Msumbiji wa kwanza Afrika, Guyana kinara duniaWAKATI imethibitishwa kwamba katika kila sekunde 40 mtu mmoja huamua...
View ArticleNEW UN RESIDENT COORDINATOR AND UNDP REPRESENTATIVE PRESENTS CREDENTIALS
The UN Resident Coordinator and UNDP Representative, Mr. Alvaro Rodriguez has officially presented his credentials to the Government. The Minister of Foreign Affairs and International Cooperation Mr....
View ArticleKandoro akemea wanaohusisha CHF na Freemasons
MKUU wa mkoa wa Mbeya Abbas KandoroMKUU wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro amekeme vikali watu wote wanaopotosha umuhimu wa mfuko wa Afya ya Jamii(CHF) wakisema ni njia ya kuwaingia wakazi wilayani hapa...
View ArticleRais Kikwete akagua utayari wa Tanzania kukabiliana na Ebola
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Septemba 9, 2014, amekagua huduma na vifaa, pamoja na maandalizi ya kukabiliana na ugonjwa hatari wa Ebola, ili...
View ArticleMakubaliano ya JK na ukawa ni haya hapa
.katiba ya zamani kufanyiwa marekebisho.Ni kuruhusu tume huru na mgombea binafsi.Ni makubaliano ya viongozi wa vyama vya siasaKATIBA inayotumika sasa ya mwaka 1977 itafanyiwa marekebisho muhimu kupisha...
View ArticleAm about to retire and the Best Showroom am inn is CFAO
Niliingia katika duka na karakana ya CFAO, Barabara ya Nyerere Dar es salaamNilitembea kuona vipyaKulikuwa na vitu si vya kawaidanikashangaa kisha nikaenda kupewa maelezonikiwa na Meneja Masoko wa CFAO...
View ArticleTANCIS KUPUNGUZA MUDA NA KUIONGEZEA MAPATO SERIKALI
Mkurugenzi Mkazi wa ASASI isiyo ya kiserikali ya kupiga vita umaskini Actionaid Tanzania (AATZ), Yaekob Metena akifungua kongamano la siku tatu kwa asasi zisizo za kiserikali, wawakilishi kutoka...
View ArticleTume ‘Operesheni Tokomeza’ kutembelea Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya
Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Ujangili imetangaza ratiba ya kwanza ya ziara yake katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa na Mbeya ili kukusanya taarifa na kupokea malalamiko...
View ArticleDarPori ama hakika ni wa aina yake
Picha zote mbili zinaonesha Kijiji cha Lunyere (DarPori) ambacho kipo umbali wa zaidi ya kilometa 90 kutoka wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma. Kijiji hiki kipo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji wananchi...
View ArticleLAUNCH OF CERTIFIED APPRENTICESHIP PROGRAM IN HOTEL OPERATION
Representatives from ILO, TUCTA, ATE and HAT in a group photo with the apprentices during the launch of the programme held in Dar es Salaam on 5TH AUGUST 2014.The launch was coupled with the signing of...
View ArticleBasi la Super feo lachinja wawili
Basi lililopata ajali likiwa stendi kuu hekaheka ya kuokoa majeruhiWatu wakiangalia kama kuna mtu anatakiwa kutolewa ndani ya gariSuper feo ikiwa chali baada ya kuacha njia kugonga mti na...
View Article