Mwenyekiti wa timu ya Ferrari aachia ngazi
BAADA ya kutumikia timu ya Ferrari kwa miaka 23 na kuiletea mafanikio makubwa mwenyekiti wa timu hiyo Luca Di Montezemolo anaachia ngazi katika uongozi wa timu hiyo inayoshiriki mbio za magari kasi za...
View ArticleSheria Ngowi amtembelea JK ikulu
Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Sheria Ngowi(kulia)akibadilishana mawazo na Rais Jakaya Kikwete IKULU jana Jijini Dar es Salaam alipomtembelea na kujadili mambo mbalimbaliRais Jakaya Kikwete...
View ArticleJux aachia ‘Sisikii’ redioni
MWANAMUZIKI anayetamba zaidi na vibao vya ‘Uzuri wako’ na ‘Nitasubiri’, Juma Mussa ‘Jux’ ameachia rasmi wimbo wake mpya wa ‘Sisikii’ . Akizungumza Jux alisema wimbo huo wa ‘Sisikii’ ameutengeneza kwa...
View Article‘Coke Studio Africa’ msimu wa pili wazinduliwa
Baadhi ya watendaji wakuu wa Coca-Cola pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo.Vanessa Mdee, Shaa, Joh Makini Diamond ‘live’ TBC1,TBC2MSIMU wa pili wa ‘Coke Studio Africa’...
View ArticleMashindano ya ngumi ya wavuvi Boxing Tournament 13/09/2014
Taarifa kwa vyombo vya habariShirikisho la ngumi Tanzania (BFT) limeaandaa mashindano ya ngumi ya wavuvi Boxing TOUNAMENT yatakayoanza kufanyika tarehe 13/09/2014 katika fukwe za Bagamoyo na baadaye...
View ArticleJK ataka msaada ESRF kuondoa umaskini kwenye uchumi unaokua kwa kasi kubwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la...
View ArticleMtu wa meno ya chuma aliyeigiza sinema za Bond afariki dunia
MUIGIZAJI Richard Kiel ambaye alicheza kama Jaw katika sinema mbili za James Bond amekufa mjini california akiwa na umri wa miaka 74.Muigizaji huyoa mbaye alikuwa na urefu wa kuchusha na kuigiza...
View ArticleMASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA...
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo...
View ArticleNFRA watakiwa kuhangaika kupata maghala zaidi kuhifadhi nafaka
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikagua shughuli za ufungashaji mahindi na Mtama kwenye magunia tayari kwa kuhifadhiwa kwenye maghala wakati alipotembelea kituo cha NFRA Kanda ya Dodoma.Mkuu...
View Articlemashindano ya ngumi ya taifa 2014 yasogezwa mbele
Taarifa kwa vyombo vya habariYah:- kusogezwa kwa tarehe ya mashindano ya ngumi ya taifa 2014Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) limesogeza tarehe ya kufanyika kwa mashindano ya ngumi ya Taifa na sasa...
View ArticleWATANZANIA WATAKIWA KUTODANYWA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vyama vya Siasa vinavyounda TCD, Mhe. John Cheyo.MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD Mhe. John Cheyo amewataka...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE LAUNCHES World bank's report on Productive Jobs Necessary...
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Managing Director of the World Bank Ms Sri Mulyani Indrawati as he arrives at the launch of the bank's report on Productive Jobs Necessary for Tanzania’s...
View ArticleMCT yahadharisha waandishi kujiingiza katika mifarakano
WAANDISHI wa habari Nchini wametakiwa kutojiingiza kwenye mifarakano na propaganda hali inayoshusha heshima ya taaluma. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
View ArticleOscar Pistorius akutwa na hatia ya kuua kizembe
Reeva Steenkamp wakati wa uhai wake akiwa na Oscar Pistorius MWANARIADHA maarufu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amepatikana na hatia ya kumua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa uzembe.Jaji aliyeendesha...
View ArticleMAFUNZO YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI UWANJA WA TAIFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kesho Jumamosi (Septemba 13 mwaka huu) saa 4 asubuhi litaendesha mafunzo ya matumizi ya tiketi za elektroniki kwa wadau wa mpira wa miguu Dar es...
View ArticleMsiba Dodoma injinia Dkt Peter A. Mokiwa afariki dunia
injinia Dkt Peter A. MokiwaKatibu mkuu wizara ya Maji , anasikitika kutangaza kifo cha Injinia Dkt. Peter A.Mokiwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira Mjini Dodoma (...
View ArticleWaathirika wa mabomu Mbagala fidia vituko vitupu waomba msaada wa JK
yasome mwenyewe mabangoZaidi ya waathirika 1,000 wa milipuko ya mabomu Mbagala ya Aprili 2009 wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kuwasaidia ili waweze kupata fidia...
View ArticleYale yale! mbio za farasi mmoja Chadema... ha ha ha ha staili hii inanipa shida
Hamkani hali si shwari ndani ya Chadema! Kansa Mohamed Mbaruku, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Tabora, amejitoa kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho taifa, hivyo kumfanya kwa mara...
View Article